Chidi Mapenzi Aeleza Ilipo Gari Alilomnunulia Shamsa Ford
Mume wa msanii wa bongo movie Shamsa Ford anayejulikana kwa jina la Chidi Mapenzi amesema gari alilomuahidi mke wake limeshafika likimiwa limeingilia badari ya Zanzibar na kichafanyika sasa niki
Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Chidi amesema “lile ni gari ambalo alijisikia na alilipenda akaamua kumnunulia mke wake, pesa ya kulilipia anayo lakini kinachoshindikana ni namna ya kulitoa bandarini ingawa hana wasiwasi kwa kuwa mke wake ni mvumilivu na anaishi maisha ya aina yote.
Hata hivyo Chidi amesema hataki kabisa kusikiliza maneno ya watu kwa kuwa watu wanaongea mambo mengi ikiwa ni pamoja kusema amamkimbia mke wake na kwenda China wakati ukweli ni kuwa yeye ni mtu wa kusafiri mara kwa mara kwa sababu ya biashara zake.
eatv.tv