Artists News in Tanzania

Diamond Afunguka Haya Baada ya ‘Kidogo’ Kufikisha Views Milioni 1 Ndani ya Siku 4

Diamond Platnumz anasherehekea mafanikio ya video ya wimbo wake mpya, Kidogo.

Ndani ya siku nne, video ya wimbo huo aliowashirikisha P-Square imefikisha views zaidi ya milioni moja kwenye mtandao wa Youtube. Staa huyo hakusita kusherehekea hatua hiyo na mashabiki wake:

 

Comments

comments

Exit mobile version