-->

Diamond Afungukia Misaada Aliyotoa kwa Jamii

Msanii Diamond Platinumz imembidi afunguke hayo mtandaoni baada ya kuguswa na comment shabiki mmoja aliyefungukia gharama za cheni ya Diamond .

Shabibiki aliandika “……100m Kwenye shingo…huku watu wana ishu nashida atleast wasaidie watu kwenye maeneo mabaya,” alicomment shabiki huyo kwenye picha hiyo hapo chini.

Naye Diamond alimjibu kwa kuandika, ““…..nimejenga nyumba 5 mwaka jana Iringa, misikiti miwili mmoja Morogoro pia nyingine Mtwara na madrasa Tegeta na nyumba ya Imamu mbali na sadaka mbali mbali sasa unataka nitoe hela zote sadaka nami nisifurahishe ebu niombe radhi kwa hilo.”

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364