Artists News in Tanzania

Diamond Platnumz Atajwa Kuwania Tuzo za BET

Mwananmuziki Diamond Platnumz ametajwa kwa mara ya pili kuwania tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act: Africa, mwaka huu 2016.

Wakali wengine wanaowania tuzo hiyo ni pamoja na Wizkid, Yemi, AKA na wengineo.Tuzo hizo zitatolewa mwishoni mwa mwezi Juni nchini Marekani.

Comments

comments

Exit mobile version