Msanii Diamond aeleza kwanini alifanya performance kwa mara ya kwanza nje Nairobi,kenya.
Diamond alieleza kuwa kwenye performance yake ilikuwa na changamoto nyingi na nchi yetu haijaweza kuwezeshwa katika sanaa.
Pia alisema sababu nyingine ya kufanya performance yake huko nairobi ni kwaajili kuonesha kuwa bongo fleva imekuwa.
DIAMOND ametangaza NDOA Mwaka Huu na pia kuwa hana beef na mtu yeyote, amesema kuwa ni watu tu wanatengeneza skendo mbalimbali kuleta utata.
bofya āPLAYā kutazama
Diamond alieleza pia kwa jinsi gani amekwazika alivyo fungiwa nyimbo yake bila sababu na bali kulipia codi nyimbo zake.
Bofya PLAY kutazama
Comments
comments