Donald Ngoma Asaini Yanga
Mshambuliaji wa Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo katika Ligi Kuu Bara msimu ujao.
![](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2017/06/NGOMA.jpg)
Mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Donald Ngoma akiweka dole gumba baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kukipiga Jangwani.
Ngoma ambaye alikuwa akihusishwa kujiunga waponzani wa Yanga, Simba kabla ya kuzuka kwa taarifa za kujiunga na klabu ya Polokwane City inayoshiriki Ligi ya kuu ya Afrika Kusini ‘Primiership ABS‘ ambapo alitua nchini usiku wa jana na mchana wa leo amesaini mkataba huo.