Artists News in Tanzania

Dotto Kuonyeshwa Kwenye ‘Bongo Movies Premiere’

dotto93

Filamu ya Dotto iliyochezwa na mastaa wakali wa bongo movies wakionzwa na  Irene Paul pamoja na Patcho Mwamba itazinduliwa kwenye Bongo Movies Premiere pale escape one, Jumatano ya tarehe 27 mwezi huu.

Mstaa kibao na wapenzi wa bongo movies wote watakuatana kuitazama filamu hiyo kwenye big screen siku huyo kuanzia saa 1 usiku.

Usikose!

Comments

comments

Exit mobile version