VIDEO: Faiza Ally Asimulia Mkasa Uliopelekea Akalala Polisi Jana
editor
Muigizaji wa Bongo Movie, Faiza Ally ukipenda muite mama Sasha,kupitia ukurasa wake kwenyemtandao wa instagram ameweka video hii akisimulia mkasa uliosababisha kulala lupango kwa siku moja.