Artists News in Tanzania

Faiza Ally Kuanzisha Biashara ya Vichupi Vya Kuogelea

Msanii wa filamu ambaye haishi vituko, Faiza Ally ameamua kuja kivingine kwa kuanzisha biashara mpya ya chupi za kuogolea.

Kupitia ukurasa wa instagram, Faiza ameandika: Haya wapenzi wangu mimi#wapenzi wa beach# nawaletea chupi nzuri za kuogelea #swimming dress za wakubwa #watoto #wanaume na wanawake kaeni tayari kupendeza # beach mwenzie vichupi ama vepe ?? #Look good#feel good #life is good

Hivi karibuni mwanadada huyo ameachia filamu yake mpya iitwayo, ‘Baby Mama Drama’.

Comments

comments

Exit mobile version