Ni stori inayozingumzia mwanamke aliyeterekezwa na mumewe baada ya dhiki na taabu .Ni kutokana na shida alizokuja kupata, anajikuta akifanya vitendo vya ajabu visivyofaa kwa jamii ili amuokoe bintiye. Je. Ni nini kilitokea?
Fuatilia mkasa huu.
STORY:
➡SAID MKUKILA
PRODUCER:
➡AISHA BUI
WAHUSIKA:
➡AISHA BUI
➡HEMED SULEIMAN
➡BI MWENDA
➡HAJI ADAM
➡BI HINDU
Na wengine kibao
EXECUTIVE PRODUCER
➡STEPS ENTERTAINMENT
Kaa tayari itakuwa sokoni siku ya tarehe 14/11/2016
Comments
comments