Artists News in Tanzania

Filamu ya ‘Afande Chacha’ Kuonyeshwa Sibuka Maisha Ijumaa Hii

Afande Chacha ni moja kati ya filamu bora zaidi kutoka Step Entertainment iliyojumuisha mastaa wakali wa bongo movie wakiweno Riyama Ally, Hemmed  PHD na Mzee Majuto.

Kwa mara ya kwanza itaonyeshwa ijumaa tarehe 14 mwezi  kupitia Sibuka maisha channel 111 kwenye startimes kuanzia saa 3 usiku ni bongo movie bandika bandua.

 

Comments

comments

Exit mobile version