Filamu ya ‘Kesho yangu’ Kutoka Steps, Inafanya Vizuri Sokoni
Kesho yangu ni kati ya filamu zinazosambazwa na Steps Entertainment na inafanya vizuri sokoni kutokana na umahiri ulioonyeshwa ndani filamu hii, sio ya kukosa kabisa.
Angalia ni namna gani anavyo weza kubadilika na kuwa mnyama kuzulumu haki pamoja na uhai wa mtu sababu ya mali.
Filamu hii inawashirikisha wa sanii kama Mohamed Zuberi(Niva), Masinde, Gozbert Mvungi na msanii chipukizi Sonatha Nduka na wengine wengi chini ya muongozaji Suleshi Marah.
Hizi ni baadhi ya Picha kutoka kwenye filamu hii
Kuipata Filamu Hii Wasiliana Nasi kwa namba hii 0673 348364