Filamu ya ‘Ndugu wa Mume’ iliyotoka mwaka jana miezi ya katikati ni moja kati ya filamu bora zililizotoka kwa mwaka huo.
Ubora wa filamu hiyo sio tu kwenye ‘quality’ ya picha na sauti, bali ni stori na uwezo mkubwa wa waigizaji wakali waliocheza kwenye filamu hiyo.
Filamu imeandaliwa Ommy Clayton ‘Dogo Masai’ ambaye ni muigizaji na muandaaji filamu hapa bongo, aliewakutanisha wakali wa bongo movie, kama Gabo,Niva, Riyama na wengine wengi katika filamu hiyo na kufanya makubwa.
Kama bado haujaiona filamu hiyo, fanya mpango uitafute madukani.
Tazama Trailer ya filamu hiyo
Comments
comments