Baada ya msanii Gigi money kusikia anaitwa na Naibu Waziri wa habari, utamaduni, sanaa za michezo JULIANA SHONZA akaamua kuposti kwa kumjibu naibu waziri na basata
Baada ya kauli ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza kumtaka Gigy Money kufika Ofisini kwake mwenyewe kabla ya Serikali haijamtafuta , January 8 2018 nimezinasa Picha 10 za Gigy Money akiingia Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) aliwasili na mpenzi wake Mo J, Good News ni kuwa Msanii huyo ni mjamzito
Msanii gigi money aliripoti BASATA na mimba
chanzo: millardayo
Comments
comments