HABARI ZA MASTAA VideoMPYA: Dayna Nyange kaja na hii ya kuitazama ‘Salesale’
chery
Msanii wa kike wa Bongofleva Dayna Nyange ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Salesale’ unadakika 3:33 karibu kuitazama ukishaitazma andika Comment yako hapa chini nayo itamfikia Dyna.