Hapa Ndipo Utakapomuona Wema Septu Akipika Mwanzo Mwisho
Kwa mara ya kwanza kama unataka kumshuhudia staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu akifanya yake jikoni basi utamuona hapa.
“This week ntakua Jikoni na my Dada Marion- Alhamis 24th December at 7pm Dstv Maisha Magic Bongo (Channel 160). An Exclusive Interview and Cooking section”-Wema ameandika kwenye ukurasa wake mtandaoni baada ya kutupia picha hizi akiwa jikoni.