Harmonize Awajibu Wanaoiponda Script ya Video ya Niambie
Ni wiki moja sasa tangu First Born wa WCB,Harmonize apandishe Youtube video yake mpya ya Niambie ambayo imeonekana kupondwa na baadhi ya watu kuwa haijaendana na maudhui ya audio.
Watu wengi wanadai kuwa audio inajenga picha ya umaskini,lakini kwenye video Harmonize anaonekana kwenye maisha ya kishua sana,jambo ambalo limewakera baadhi ya mashabiki.