Haya ndio maamuzi aliyoyafanya Shilole
Story inayo-trend kwenye mitandao ya kijamii ni hii baada ya Wema Sepetu ku-post picha ya ua rose jekundu na kuwa tofauti na wengine hii ni kutokana na wengi kuzoea kuona ua jeusi ku-trend na kutafsriwa kama ishara ya penzi kuvunjika.
Ila kwa upande wa staa wa muziki Shilole “Shishi baby” ameamua kuja na maamuzi yake juu ya ua lake mwenyewe la rangi ya pink baada ya kila mtu ku-post picha ya ua rose jekundu na wengine ua rose jeusi na maamuzi yake ameyaweka wazi kupitia account yake ya instagram
Shilole ameandika…… >>>Yalianza meusi yamekuja mekundu let me choose mine #roseschallenge #pinkroseForShishi nimeweka na kizungu ili tuelewane mataifa”