Artists News in Tanzania

Haya Ndiyo Maneno ya Diamond kwenda Kwa Dr. Mwaka

Staa wa Bongo Fleva anayetamba hivi sasa na kibao cha Je Utanipenda, Diamond Platinum amemtakia kheri na Baraka mtaalamu wa dawa za tiba mbadala kwa magonjwa ya kinamama, Dr J J Mwaka wa kituo cha Foreplan Herbal Clinic kutokana na mchango wake kwenye kusaidia mziki wa kibongo.

Diamond Akiwa na Dr.Mwaka

Diamond Akiwa na Dr.Mwaka

Mbali na Dokta huyo kukabiliwa na changamoto kubwa kuhusu huduma zake kwa sasa, Diamond ambaye ametumika kwenye matangazo ya Dokta huyo ameandika haya leo mtandaoni mara baada ya kuweka picha akiwa na Dokta huyo wa tiba mbadala.

“Mwenyez Mungu akupe kila lenye kheri na baraka kwa kuthamini na kussuport mziki wa Kitanzania…”.

Comments

comments

Exit mobile version