Artists News in Tanzania

Idris Sultan ashindwa kuvumilia mafanikio waliyofikia Wakenya

Idris Sultan ameonyesha kukerwa na baadhi ya Watanzania wanaopenda kupoteza muda mwingi katika mitandao ya kijamii kuliko kazi na kuuita ni “umbea” hii imekuja baada ya kuona mafanikio kutoka +254 Kenya baada ya movie ya “Watu Wote” kutajwa katika Tuzo za Oscar nchini Marekani na kutengeneza Satelite yao ya kwanza nchini humo.,

Kupitia ukurasa wa instagram wa Idris Sultan ameandika “Wacha wakutane Oscars na bank na conference kubwa duniani. Sisi tukutane zetu DM ☺️ .. Satellite zipo kinondoni #WachaTuburuzwe

SIO HABARI: Tazama vichekesho vya idris sultan

Comments

comments

Exit mobile version