IKULU: Rais Magufuli Akutana na Bill Gates. Atenga Bilioni 777 Kutekeleza Miradi Mbalimbali Sekta ya Kilimo na Afya
Rais John Pombe Magufuli amefunguka na kumshukuru Mwenyekiti Mwenza wa taasisi ya Bill and Mellinda Gates Bw. Bill Gates kwa misaada mbalimbali ambayo inatolewa kupitia taasisi yake kwenye miradi mbalimbali nchini.