Fiamu ya kubwa ya Inside Story itaonyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye ukumbi wa CINEPLEX CINEMA, QUALITY CENTER siku ya ijumaa tarehe 19 mwezi huu.
Fiamu ya INSIDE STORY imechezwa na mastaa wakubwa wa kimaifa kama Hakeem Kae-Kazim na Fana Mokoena waliocheza kwenye filamu ya Hotel Rwanda.
Inside Story itasambazwa na Steps Entertainment, Kaa mkao wa kula.
Comments
comments