Irene Uwoya Awafungukia Wasanii Wanaodai Kuwa Walilipwa Kufanya Kampeni 2015
Irene Uwoya ni moja kati ya wasanii wa bongo movies walioshiriki kwenye kampeni za uchaguzi za mwaka 2015 akiwa kama kada wa chama cha mapinduzi.
kufatia kile kinachoendelea hivi sasa kuhusu madai ya baadhi ya wasanii kudai na wengine kutangaza kulipwa wakati wanaifanya kazi ile ya kukipigia debe chama cha mapinduzi,Irene Uwoya amefunguka haya kupitia ukurasa wake Instagram
Katika maisha siku zote ushauri unaruhusiwa kutolewa au kupokelewa… Lakin sio lazima mtu kupokea ushauri unaotolewa.
Kila mtu anauhuru wakuamua kitu ambacho anahisi kinamfaa kwenye maisha sababu.Sazingine kwenye maisha Kuna sehemu inafika unacho jiskia kwenye moyo wako sio rahisi mtu mwingine kujiskia … Sasa ni mbaya sana kuishi kwa hisia.
Ifikie Wakati tujitaidi kuheshimu hisia Za mtu… Lakin pia kunavitu vingine nazani Nivyema vkabaki kwa wausika wavinaowahusu…yani sio lazima kuongea kila kitu kwenye jamiii. Watu wanatamani sazingine kuskia vtu ambavyo wanahisi vinafaida kwa Jamaniii.
Kunavitu vingine ukiongea havina maana… Mfano mim ni CCM damu…
Lakin kunavitu vinaboa sanaaa Kweli kada mzima wa CCM unasimama hazarani unasema tulilipwa kufanya campaign? hatakama lakini unafundisha Nin Jamiii? Unafundisha jamiii kwamba yote tuliyoongea kuhusu CCM hatukuyaamanisha nikwasababu tulilipwa? Unaiambia jamiii ulikuwa tayari kuwadanganya na mliwadanganya sababu mlilipwa?
Hivi Kweli? Kwahiyo jamiii ione Chochote Tutachoonge wasikiamini maana yake tutakuwa tumelipwa? Kwahiyo ata mnayoyaongea mnataka kusema mmelipwa? Minazani tujifunze kunyamaza sazingine kama hamna ulazima wakuongea mnaweza kuhisi mmnajenga kumbe mnaharibu kabisaaa.
Embu Tufanye Kazi zinazo tuhusu Jamaniii… Nigeria wenzetu sasa wako Hollywood wanaigiza huko… Sisi ata nigeria kwenyewe bado hatuja pasua… Lakin hapa Tupo busy kushabikia ujinga na vitu vya kipumbafu na visivyo na Msaada kwajamiii… Kwastaili hiii… Hollywood tutaiskia na kuiona kwenye TV.no