Je ni Kweli Video hii ya Wema Sepetu Imeuvunjavunja Moyo wa Idris Sultan?
Mara baada ya video ya Wema Sepetu aki-kiss na jamaa mwingime kusambaa mtandaoni, mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan ambaye anadaiwa kuwa bado yupo kwenye mahusiano na Wema sepetu inasemekana kuwa video hiyo imemuumiza sana moyo.
Idris amepost picha hiyo chini kwenye mtandao wa Instagram na kuandika:
“I have learnt to consider all my failures as lessons learnt the hard way. As i focus on work kesho Jumapili i will land in Nairobi at 7:20 asubuhi.”
Bado Wema hajasema chochote.