Artists News in Tanzania

Jux Asema Jack Clif Yupo ‘Okay’ Hana Tatizo

jack na jux

Ikiwa ni zaidi ya miaka kadhaa tangu mrembo Jack Clif kukamatwa china,kuna vitu vingi ambavyo bado havijajulikana, lakini kumbe jux huwa anafanya naye mawasiliano.

‘’Huwa tunafanya mawasiliano ingawa sio mara kwa mara ..she is okay..yuko sawa..nimewasiliana naye kama miezi miwili iliyopita ..siwezi kuongelea sana vitu vingine..hata hivyo yeye mwenyewe hapendi niwe naongea ongea na watu kuhusu maisha yake,’’Jux

Cloudsfm.com

Comments

comments

Exit mobile version