Kajala Ajivunia Paula Wake
Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja ameonyesha kujivunia kukuza binti yake, Paula kwa kuweka picha hizo hapo juu mtandaoni akiwa na Paula wakati akiwa mtoto na sasa hivi alivyokuwa binti kisha akaandika haya.
“Back then when my Paula was a baby now she is a grown young lady, I love u princess????”-Kajala
Hongera sana Kajala.