KAJALA Masanja amewasihi mastaa wenzake wajifunze kuwekeza hela wanazopata kwa kuwa kuna kipindi kitafika ustaa utaisha na kutakuwa hakuna kitu kingine cha kuwaingizia kipato.
Kajala ambaye analitendea haki soko la filamu Bongo, alisema
kila mtu atumie wakati wake sasa,” alisema Kajala. amepata wazo hilo hivyo ameona ni vyema akawatonya na wenzake maana amewaona watu wengi waliokuwa na fedha za kumwaga lakini leo hii wapo kwenye maisha magumu hivyo hata yeye amejifunza.
“Kwa kweli nimejifunza sisi mastaa tujaribu kuweka hata akiba fedha zetu tunazozipata kwa kipindi hiki ambacho tunaweza kupata kwa urahisi ili baadaye tusije kujuta maana majuto ni mjukuu.
Chanzo: GPL
Comments
comments