MSHINDI wa Big Brother Afrika mwaka 2013 kutoka Namibia, Dillish Mathews inasemekana kuwa ni mjamzito hasa baada ya picha kuweka katika mtandao wa Instagram akiwa kashikilia tumbo huku akiuliza kuwa ni mtoto au baga?
Hali hiyo imeibua mengi na watu wengi wamehisi kwamba kama Dillish ni mjamzito basi itakuwa Diamond Platnumz anahusika kwa sababu inasemekana kuwa alikuwa na uhusiano na mrembo huyo hivi karibuni.
Kama ni kweli basi hali inaweza kuwa tata, huku upande wa Diamond hali ikionekana ni shwari lakini kama bomu hili likifumuka basi tujiandae na filamu na hatujui stelingi ataishia wapi!
Comments
comments