Muigizaji wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefika Mahakama ya Kisutu leo kwaajili ya kesi yake inayomkabili ya kutumia dawa za kulevya.
Ambapo Wakili wa serikali amesema kuwa kesi hiyo imeitishwa kutokana na kuendelea kwa ushahidi, Jaji amesema kutokana na muda kuwa mchache kesi hiyo inahairishwa mpaka Novemba 24 mwaka huu.
Bongo5
Comments
comments