-->

Kilichomuua Mke wa Director Lister Hiki Hapa

Mke wa muongozaji wa Filam  Tanzania Gift John Lister aliyefariki wiki iliyopita akiwa anasumbuliwa na homa ya mapafu amezikwa Jumamosi hii katika makaburi ya Kinindoni.

John Lister akiwa na mkewe Marehemu Gift John Lister

Akiongea kupitia eNewz  mume wa marehemu Director John Lister amesema marehemu ameacha watoto wawili na siku tatu zilizopita waligundua kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na homa ya mapafu na wakati anapatiwa matibabu ndipo umauti ukamfika.

Pia John Lister amewashukuru wasanii wote pamoja na marafiki waliojitokeza katika mazishi ya  mke wake, bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

eatv.tv

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364