DAR ES SALAAM: Ubuyu! Wasanii wawili wa Bongo Muvi, Coletha Raymond ‘Koleta’ na Lungi Maulanga wanadaiwa kutikisa ndoa ya mbunge machachari wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (jina tunalo) anayesemekana kuwa ni mhongaji mzuri.
Baada ya kunyetishiwa ishu hiyo, gazeti hili liliwatafuta watuhumiwa hao ambapo kwa upande wake Lungi (pichani) alikiri ‘kujuana’ na mbunge huyo lakini akadai ilikuwa zamani kwa sasa yupo mbali naye huku simu ya Koleta ikiita bila kupokelewa.
Kwa upande wake mbunge huyo aliishia kujitetea akidai kwa sasa ndoa yake imetimiza miaka 20.
Chanzo: GPL
Comments
comments