“Kumteka mwanamke mwenye mapenzi ya kweli ni rahisi sana kuliko wengi wanavyofikiri, ni vitu vidogo tu, muonyeshe mapenzi ya kweli, muweke wazi kwa kila kitu chako,jiamini hata km huna uwezo sana, mjali na umpende, ukifanya hayo umeishika roho yake, walimwengu wataongea yao, watapiga kelele hatoona wala kusikia, lkn ukimdnganya na ukamletea maisha feki, na ukadhani hajui kuwa unamdanganya umeumia, anaweza asikuambie uongo wako akakuangalia tu, lkn anajua kuwa unamdanganya, MBAYA SANA!.”
Kulwa Kikumba ‘Dude’ @dudebongo on Instagram
Comments
comments