‘Latifa Mwehu’ Kuingia sokoni Jumatatu
Latifa Mwehu ni filamu inayowakutanisha wakali wa Bongo Movie, Aunt Ezekei, Stanley Nsungu, Swebe,Tea,Maya na Haji Adam itakayoingia sokoni jumatatu ya wiki ijayo.
Sikuwahi kuwaza hata siku moja kama maisha yatakuja nibadilikia hivi,Nilijua kuoa ndio nia ya kuondoa maovu niliyopiti kumbe ndio kwanza nilimfungulia shetani njia ya kunishawishi zaidi .Pole sana mke wangu maana sikuwahi kuwa mume bora kwako……Ndani ya Latifa Mwehu
Inasambazwa na Steps entertainment.