Artists News in Tanzania

Lava Lava: Nipo Single Mwanamke Mzuri Ajitokeze

Msanii kutokea kundi la WCB Lavalava  alipoulizwa kama ana mpenzi na kwa nini hajawahi kumuweka hadharani haya yalikuwa majibu yake, “hilo swali ninaulizwa mara sabini na watu jamani kama kuna mwanamke mzuri ananiona aje mimi nipo single sina wakumtangaza”

Pamoja na hayo amezungumzia masuala ya upendeleo yanayodaiwa kuwepo katika record label ya WCB ambapo majibu yake yalikuwa haya…..“Diamond amekuwa akisnap nyimbo za wasanii wote wa WCB zikitoka sema kipindi hichi ameonekana kama anamapenzi yaliyopitiliza kwangu lakini siyo kweli,”– Lavalava

“Anapenda nyimbo za watu wote wa WCB, siyo kweli kwamba Diamond anawapendelea wengine kufanya show kubwa ni kwasababu na nyimbo tatu au nne” – Lavalava

chanzo: udakuspecially

Comments

comments

Exit mobile version