Leonard Di Caprio Aandika Historia
JANA usiku katika jiji la Los Angeles kulikuwa na sherehe kubwa ya utoaji wa Tuzo za 88 za Oscar.
Katika tuzo hizo, mshiiki mmojawapo, Leonard Di Caprio kwa mara ya kwanza aliandika historia ya kuchukua tuzo hiyo ambapo aliwahi kujaribu zaidi ya mara tano.
Tuzo hiyo ya Caprio aliyewahi kubamba katika Filamu ya Titanic na Blood Diamond ameichukuwa kupitia filamu yake aliyoachia hivi karibuni ya Revenant ambapo ameibuka kupitia kipengele cha Muigizaji Bora wa Kiume.
Orodha kamili ya washindi hiyo hapo chini.
Filamu bora zaidi
Mshindi: Spotlight
The Big Short
Bridge of Spies
Brooklyn
Mad Max: Fury Road
The Martian
The Revenant
Room
Mwigizaji bora wa kiume
Mshindi: Leonardo DiCaprio – The Revenant
Bryan Cranston – Trumbo
Matt Damon – The Martian
Michael Fassbender – Steve Jobs
Eddie Redmayne – The Danish Girl
Mwigizaji bora wa kike
Mshindi: Brie Larson – Room
Cate Blanchett – Carol
Jennifer Lawrence – Joy
Charlotte Rampling – 45 Years
Saoirse Ronan – Brooklyn
Mwigizaji bora msaidizi wa kiume
Mshindi: Mark Rylance – Bridge of Spies
Christian Bale – The Big Short
Tom Hardy – The Revenant
Mark Ruffalo – Spotlight
Sylvester Stallone – Creed
Mwigizaji bora msaidizi wa kike
Mshindi: Alicia Vikander – The Danish Girl
Jennifer Jason Leigh – The Hateful Eight
Rooney Mara – Carol
Rachel McAdams – Spotlight
Kate Winslet – Steve Jobs
Mwelekezi bora
Mshindi: Alejandro G Inarritu – The Revenant
Lenny Abrahamson – Room
Tom McCarthy – Spotlight
Adam McKay – The Big Short
George Miller – Mad Max: Fury Road
Filamu bora ya kutokana na kitabu
Mshindi: The Big Short (Adam McKay and Charles Randolph)
Brooklyn
Carol
The Martian
Room
Filamu bora ya hadithi asili
Mshindi: Spotlight (Tom McCarthy na Josh Singer)
Bridge of Spies
Ex Machina
Inside Out
Straight Outta Compton
Filamu bora ya katuni hai
Mshindi: Inside Out
Anomalisa
Boy and the World
Shaun the Sheep Movie
When Marnie Was There
Filamu bora ya lugha ya kigeni
Mshindi: Son of Saul – Hungary
Embrace of the Serpent – Colombia
Mustang – France
Theeb – Jordan
A War – Denmark
Filamu bora fupi ya katuni hai
Mshindi: Bear Story (Gabriel Osorio na Pato Escala)
Prologue
Sanjay’s Super Team
We Can’t Live without Cosmos
World of Tomorrow
Filamu bora ya sinema
Mshindi: The Revenant (Emmanuel Lubezki)
Carol
The Hateful Eight
Mad Max: Fury Road
Sicario
Filamu yenye mavazi bora
Mshindi: Mad Max: Fury Road (Jenny Beavan)
Carol
Cinderella
The Danish Girl
The Revenant
Filamu bora ya makala
Mshindi: Amy
Cartel Land
The Look of Silence
What Happened, Miss Simone?
Winter on Fire: Ukraine’s Fight for Freedom
Filamu bora ya makala fupi
Mshindi: A Girl in the River: The Price of Forgiveness
Body Team 12
Chau, Beyond the Lines
Claude Lanzmann: Spectres of the Shoah
Last Day of Freedom
Filamu iliyohaririwa vyema zaidi
Mshindi: Mad Max: Fury Road (Margaret Sixel)
The Big Short
The Revenant
Spotlight
Star Wars: The Force Awakens
Filamu bora zaidi ya kuigizwa moja kwa moja
Mshindi: Stutterer
Ave Maria
Day One
Everything Will Be Okay (Alles Wird Gut)
Shok
Filamu ambayo waigizaji wamepambwa vyema zaidi
Mshindi: Mad Max: Fury Road (Lesley Vanderwalt, Elka Wardega and Damian Martin)
The 100-Year-Old Man Who Climbed Out the Window and Disappeared
The Revenant
Filamu yenye midundo bora asili
Mshindi: The Hateful Eight
Bridge of Spies
Carol
Sicario
Star Wars: The Force Awakens
Filamu yenye wimbo bora asilia
Earned It, The Weeknd – Fifty Shades of Grey
Manta Ray, J Ralph & Antony – Racing Extinction
Simple Song #3, Sumi Jo – Youth
Til It Happens To You, Lady Gaga – The Hunting Ground
Writing’s On the Wall, Sam Smith – Spectre
Filamu yenye maandalizi bora
Mshindi: Mad Max: Fury Road (Colin Gibson and Lisa Thompson)
Bridge of Spies
The Danish Girl
The Martian
The Revenant
Filamu iliyohaririwa sauti vyema
Mshindi: Mad Max: Fury Road (Mark Mangini and David White)
The Martian
The Revenant
Sicario
Star Wars: The Force Awakens
Filamu iliyochanganywa sauti vyema
Mshindi: Mad Max: Fury Road (Chris Jenkins, Gregg Rudloff and Ben Osmo)
Bridge of Spies
The Martian
The Revenant
Star Wars: The Force Awakens
Filamu yenye picha zilizobuniwa vyema
Mshindi: Ex Machina (Andrew Whitehurst, Paul Norris, Mark Ardington na Sara Bennett)
Mad Max: Fury Road
The Martian
The Revenant
Star Wars: The Force Awakens
Imeandaliwa na Andrew Carlos/GPL