Lulu: Mnanipa Bichwa Mwenzenu
Staa mrembo wa Bongo Movies anayependwa na wengi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewapasha mashabiki wake mtandaoni kuwa wanavyozidi kumwagia misifa kwa urembo wake wanasababisha ajione kuwa yupo juu sana wakati yeye ni wakawaida.
“Mnajua mkiniongelea Sana mnanipa Bichwa Mwenzenu????naanza kuona Kama bila mm vitu haviwezekani hivi???Msinifanyie hvyo…Najikuta MATAWI mwenzenu???wakati Sina lolote?”-Lulu