Lulu na Richie wanyakua Tuzo Usiku wa Jana, Lagos Nigeria
Usiku wa jana Tanzania imeingia kwenye headlines tena baada ya waigizaji wa Tanzania kuchukua Tuzo Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016 zilizotolewa Lagos Nigeria ambapo mwimbaji toka Tanzania Alikiba alikuwa mmoja kati ya wasanii waliotumbuiza kwenye tuzo hizo.
Wasanii wa Filamu Tanzania Elizabeth Michael na Single Mtambalike wamefanikiwa kuondoka na tuzo moja kila mmoja ambapo Elizabeth Michael (Lulu) amechukua Tuzo ya Best Movie East Africa kupitia movie yake ya Mapenzi na Single Mtambalike amechukua Tuzo ya Best Indigeous Language Movie/TV Series Swahili kupitia Movie ya Kitendawili
Orodha ya yote ya washindi wa tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016 hii hapa chini
Best Movie (Eastern Africa) – “Mapenzi”, Elizabeth Michael
- Best Art Director – Frank Raja Arase for “The Refugees”
- Best TV Series – Ariyike Oladipo for “Daddy’s Girls”
- Best Makeup Artist– Louiza Calore for “Ayanda”
- Best Short Film – Oluseyi Amuwa for “A Day With Death”
- Best Writer – Trish Malone for “Ayanda”
- Best Lighting – Stanlee Ohikhuare for “Common Man”
- Best Cinematography – Paul Michaelson for “Tell Me Sweet Something”
- Best Sound Editor – Marquez Jose Guillermo for “Dry”
- Best Picture Editor – Shirley Frimpong-Manso for “Rebecca”
- Best Costume Design – Uche Nancy for “Dry”
- Best Local Language (Swahili) – Single Mtambalike for “Kitendawali”
- Best Local Language (Hausa) – Salisu Balarabe for “Dadin Kowa”
- Best Local Language (Yoruba) – Abiodun Jomoh & Jumoke Odetola for “Binta Ofege”
- Best Local Language (Igbo) – Paul Igwe for “Usekwu Igbo”
- Best Documentary – Remi Vaughan Richards for “Faaji Agba”
- Best Supporting Actor – Sambassa Nseribe for “A Soldier’s Story”
- Best Supporting Actress – Tunbosun Aiyedehin “Before 30”
- Best Actor (Comedy) – Folarin Falz Falana for “Jenifa’s Diary”
- Best Actress (Comedy) – Funke Akindele for “Jenifa’s Diary”
- 2016 AMVCA Trailblazer – Kemi Lala Akindoju
- 2016 AMVCA Industry Merit Awards – Bukky Ajayi & Sadiq Daba
- Best Movie (Southern Africa) – “Lilongwe” by Joyce Mhango Chavula
- Best Movie (Eastern Africa) – “Mapenzi” by Elizabeth Michael
- Best Movie (Western Africa) – “Road To Yesterday” by Chinny Onwugbenu, Genevieve Nnaji & Chichi Nwoko
- Best Actress (Drama) – Adesua Etomi for “Falling”
- Best Actor (Drama) – Daniel K. Daniel for “A Soldier’s Story”
- Best Director – Akin Omotosho for “Tell Me Sweet Something”
- Best Overall Movie – “Dry” by Stephanie Linus