Artists News in Tanzania

Lulu na Richie wanyakua Tuzo Usiku wa Jana, Lagos Nigeria

richile732

Richie

Usiku wa jana Tanzania imeingia kwenye headlines tena baada ya waigizaji wa Tanzania kuchukua Tuzo Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016 zilizotolewa Lagos Nigeria ambapo mwimbaji toka Tanzania Alikiba  alikuwa mmoja kati ya wasanii waliotumbuiza kwenye tuzo hizo.

Lulu

Wasanii wa Filamu Tanzania Elizabeth Michael na Single Mtambalike wamefanikiwa kuondoka na tuzo moja kila mmoja ambapo Elizabeth Michael (Lulu) amechukua Tuzo ya Best Movie East Africa kupitia movie yake ya Mapenzi na Single Mtambalike amechukua Tuzo ya Best Indigeous Language Movie/TV Series Swahili kupitia Movie ya Kitendawili

Orodha ya yote ya washindi wa tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016 hii hapa chini

Best Movie (Eastern Africa) – “Mapenzi”,  Elizabeth Michael

Comments

comments

Exit mobile version