-->

Mara nyingi kwenye ulimwengu wa mapenzi iko hivi..

jb“Mara nyingi kwenye ulimwengu wa mapenzi iko hivi….A anampenda B na wako wote…lakini B moyo wake uko kwa c…ni mara chache sana kupata couple zenye usawa katika kupenda…unapompenda mtu hasa ss wanaume huwa tuna tumia kila njia kuhakikisha tunammiliki..tunajaribu kuwa waugwana…wakali na wakorofi..hata na pesa kuhakikisha tuna wamiliki wapenzi wetu..lakini mapenzi sio kumiliki bali kumfanya umpendae awe na furaha…piakina dada wanapo achana na wapenzi wao huwa wanasumbuliwa na maswali ambayo sio sahihi m.f…kwa nini ameniacha…yuko na fulani kwani kanizidi nini..ananionaje…hawajiulizi ananifaa…tunaendana tabia…kuna future…hata sisi wanaume wanawake wakorofi ndio tunao wapenda lakini hatujui kuoa mwanamke mkorofi inabidi uwe mkorofi zaidi ndio zile sheria lakini kama moyo haupo na hana furaha…pia haisaidii….Chungu cha tatu…tuliangalia hayo…kama hujayaona angalia tena kwa utulivu ni somo..”-JB

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Hi there!

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364