MOVIE CLIP: Gate Keeper- Kutoka kwa Ray, Richie na Kajala
Filamu ya GATE KEEPER inatarajiwa kuingia sokoni tarehe 6 mwezi wa tatu mwaka huu.
GATE KEEPER imechezwa na mastaa kibao katika tasnia ya bongo movie , kutana na Vincent Kigosi (Ray) Single Mtambalike (Richie), Kajala Masanja, Nicole Franklyin. Tazama Trailer ya Filamu hii hapa chini
Official Trailer