Artists News in Tanzania

Movie Trailer: Tino Kuja na ‘Singo Zero’

Staa mkongwe wa filamu hapa bongo, Tino anafungua mwaka kwa kuachia bonge moja la filamu lenye kila aina ya vitu, kuanzia mapigo na kisa kizito cha kusismua, ni filamu ya SINGO ZERO

Kutoka Tino Muya Film, Steps Entertainment imeshasambaza filamu hii kwenye maduka yote nchi nzima.

Tazama Trailer ya filamu hiyo

Comments

comments

Exit mobile version