Artists News in Tanzania

Mtangazaji Gardner Atakiwa Kumuomba Radhi Lady Jaydee Mbele ya Umma

jidenagardner

Gardner na Jaydee enzi za ndoa yao

Kufuatia madai  kuwa mtangazaji wa clouds fm, Gadner G Abashi ‘Captain’ kumdhalilisha  mwanamziki Laday jaydee ambaye alikuwa mke wake, wanasheria wa Lady Jaydee wamtaka Gardner kuomba radhi mbele ya umma.

Hii ndiyo barua aliyopelekwa kwa Gardner.

Comments

comments

Exit mobile version