“Nafurahia nilichokifanya”-JACQULINE WOLPER
January 6, 2018 Staa wa Bongo movie Jacquline Wolper siku chache zilizopita amekuwa akipost vitu kupitia mitandao yake ya kijamii kuhusiana na kuvalishwa pete ya uchumba na kuolewa na mwanaume ambaye wengi hawamfahamu.
Kupitia mtandao wa snapchat pamoja na instagram Jacquline Wolper amepost picha ambazo zinaashiria kuwa ameshaolewa kutokana na captions alizoziandika na moja ya captions ameandika “Masaa yaliyopita namshukuru Mungu”