-->

Nay wa Mitego Awashukia Wanaotaka Kujibishana Nae

Mkali wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego, amesema kwa levo aliyonayo kwenye gemu la muziki hawezi kushindana na msanii ambaye anatafuta kiki kupitia yeye na huku hafikii levo yake.

nay wa mitego23

Nay wa Mitego

Nay wa Mitego, aliyazungumza hayo Ijumaa kwenye kipindi cha Friday Night Live ya EATV na EA Radio baada ya kuulizwa kuhusiana na tetesi kwamba hapo awali alikuwa akitungiwa nyimba na rapa Kimbunga Mchawi kisha anapoziimba Kimbunga hurejea kutunga nyimbo kwa ajili ya kumjibu Nay wa Mitego.

Nay wa Mitego amesema kuwa kwa sasa yeye yupo juu kimuziki hivyo hawezi kujibishana kuhusiana na msanii Kimbunga Mchawi kwa kusema kuwa nikweli au si kweli kuhusu kumuandikiwa nyimbo hizo.

eatv.tv

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364