New Video: GaraGasha By Azma f/ Jongwe (Sugu) , Izzo Bizness & Abela Music
editor
New video kutoka kwa msanii Azma Mponda akiwashirikisha Sugu, Izzo Bizness na Abela Music. Wimbo unakwenda kwa jina la Garagasha, Video imeongozwa na Andy Zabron Snr huku wimbo ukitayarishwa na Gwesa,Kita na Alfizoh.