Mastaa wa bongo muvi, Salma Jabu ‘Nisha’ na Jacqueline Wolper wamejikuta wakivutana mtandaoni baada ya Nisha kuandijka kitu ambacho Wolper alijibu na kusababisha Nisha kuibuka tena na kutoa ufafanuzi.
Nisha aliandika haya; kwenye hicha hii
“Mmoja kati ya hawa amejaa kwenye galary ya simu yangu na moyoni mwangu,otea A B C AU D? enhe.
he???sa hv siweki hadharani maana nna phd ya kunyakuliwa.
sa hivi ni kumpost kwa mwendo kasiii yaani wengi wengi simtaji ng’ooo.
RAMADHAN QAREEM ??sasa andika matusi ufungulie.
nimesubiri siku hii muda jmn dah watu wakiwa wamefungwa makufuli midomoni na mwezi(waislam/waikristo wote wanauheshimu)????”
Baada ya ujumbe huo wa Nisha ndipo Wolper alitoa maoni yake kwenye picha hiyo kwa kuandika hivi
Ok guys kuna picture niliweka saa 4 asbh leo,za wasanii kadhaa wa music ambao niliweka na caption yangu kwa furaha zangu tu.
ila baada ya lisaa limoja ikaja coment hiyo ya msanii mwenzangu sikudhungumza chchte,i was like ok nikacheka tu.
then zikaja comments nyingi za kumuuliza kulikoni kuandika hivyo.
masaa mawili yaliyopita ukaandikwa waraka mzito mrefu unaosema. “Nisha aandaa show mtwara ya kumnasa Harmonize ila Wolper akagundua hilo akaamua kuongozana naye Harmo hadi huko kukwepa hilo (NA MANENO MENGI YA ZIADA YA UONGO.
ikimbukwe show imeshapita km week na haya maneno yamezuka leo baada ya hiyo coment.
guyz tuje kwenye point KWANZA KABISA SIJAMLENGA YYTE KWA NILIYEANDIKA NILIANDIKA KWA MAPENZI YNG KM NILIVYOANDIKA JANA STATUS YA VIDONDA VYA TUMBO,TENA HADI WADOGO ZNG NIKAWAAMBIA TAZAMA NACHEZA NA AKILI ZA WATU.
NIMESHANGAA HABARI ZA UONGO KUSAMBAZWA ZIDI YANGU TENA BAADA YA COMENT HII KWANGU.
POINT YA PILI KWA YYTE ANAYEULIZA NIMEANZA LINI UPROMOTA guyz mimi ni mfanyabiashara na kwenye pesa nipo,show ya MTWARA imenigharimu si chini ya ml.18 unadhani naweza poteza pesa zote hizo kisa mapenzi?sina ujinga huo wa akili.
NA SIJAWAHI KUMTAKA NA SITOTARAJI KWANZA SIJAZOEA KUPITA ANAPOPITA MTU HASWA NNAYEMJUA.
TATU nimeandaa show ingine ramadhan ya 13 DAR-ES-SALAAM inahusu ramadhan.
na nna SHOW SKUKUU YA IDD MOSS NA IDD PILI MIKOANI ZOTE MM NDO MUANDAAJI NA KUNA WASANII WAKUBWA TU JE HAO PIA NATAKA KUWANASA? HE.
IFIKE HATUA TUSIWE TUNABALANCE MTU MMOJA NA PIA SIO KILA ASIYEDHUNGUMZA NI MNYONGE SANA ILA KUNA WKT DRAMA HAZINA MUDA INABIDI UPIGE KAZI MAANA MAISHA YANAENDA MBELE HAYARUDI NYUMA.
NB:SHUKRAN KWA WEWE UNAYESAMBAZA UJUMBE HUU WA UONGO SINA CHA KUKWAMBIA NIMEPITIA MENGI MAKUBWA SO HILI KM NACHEZA MDAKO. (mwenye uelewa kaelewa chanzo cha story inayosambaa imetoka wapi,nimeandika hapa kwa manufaa ya mashabiki zangu wote watakaobahatika kusoma habari hizo za uongo.
NUNUA FILAMU KUTOKA STEPS ENTERTAINMENT: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO:
Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.
KAMA UNATAKA KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA FILAMU POPOTE PALE:
Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.
Filamu Zilizotoka Hivi Sasa >>>>HIZI HAPA
Comments
comments