-->

Ommy Clayton Amleta Gabo na Kitu

MTAYARISHAJI na mtunzi mahiri wa filamu za Kibongo  Omary Clayton ‘ Ommy Clayton’ wiki ijayo anatarajia kuachia filamu yake kali nay a kusisimua ya Kitu ambayo amewashirikisha wasanii wakali kama vile Ahmed Salim ‘Gabo’ na wengine.

gabo-

Ahmed Salim ‘Gabo’

“Safari hii nimejipanga zaidi kikazi kwani filamu yangu ya Kitu si mchezo unakutana na msanii Gabo kafanya maajabu humo, nafikiri hii itakuwa zaidi ya Ndugu wa mume ni kazi nzuri sana,”anasema Ommy Clayton.

omary89

Ommy Clayton mtayraishaji wa filamu ya Kitu

Filamu ya Kitu inasambazwa na kampuni ya Splash Entertainment na kuongozwa na Ommy Clayton wasanii wengine walifanya kazi iwe kazi ni Hemed Suleiman ‘Phd’, Bi. Fety, Hanifa na wasanii wengine wakali kibao wameitendea haki si ya kuikosa.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364