Ommy Dimpoz: Tafuta Hela Ndo Utajua Kama Wewe ni Handsome Au Beautiful editor 9 years ago Mkali wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz ameandika hayo kwenye ukurasa wake wa instagram mara baada ya kuweka picha hii. “Tafuta Hela Ndo Utajua kama wewe ni Handsome au Beautiful? #MondayMotivation” -Ommy Dimpoz. Neno moja kwake Comments commentsSee more