Orodha ya Mabillionaire Africa, 2018
Wako wanawake wawili katika matajiri 21 wanaongoza kwa utajiri Africa. Katika orodha ya matajiri 21, Mtanzania Dewji yuko kwenye nafasi ya 17. Dangote akishika nafasi ya kwanza.
Dangote anaongoza kwa $12.2 B.
Aliko Dangote |
Mtanzania pekee kwenye orodha hiyo ni
Mohammed Dewji
na utajiri wake unakadiriwa kuwa dola $1.5 B
Wanawakwe pekee kwenye hii list ni
Isabel dos Santos mwenye utajiri unaokadiriwa kufikia dollar $2.7 B na
Folorunsho Alakija utajiri wake unakadiriwa kuwa dola
$1.6 B
Katika orodha ya matajiri 21 , aliye na umri mdogo kuliko wote ni Mohammed Dewji mwenye umri wa mika 42
Source : forbes
Comments
comments