-->

Batuli Afunguka Kuhusu Picha za Utupu

Post Image

Muigizaji wa filamu nchini, Yobnesh Yusuph, Batuli’ amesimama na kutaka watu waiheshimu sanaa ya Tanzania na kuwatetea wasanii kwamba hawahusiki na suala la upigaji picha za utupu isipokuwa watu wachache waliojipenyeza kwa staili ya picha. Batuli ametoa kauli hiyo kipindi hiki ambacho wasanii wa magizo na muziki wamekuwa wakinyooshewa vidole na serikali kwa kuvaa mavazi […]

Read More..

Baba Uwoya amgomea Janjaro

Post Image

MZEE kaamua kukausha tu, sio kwamba hasikii blabla zenu mnazochonga juu ya bintie Irene Uwoya. Lakini kubwa ni kwamba ameikataa ndoa ya bintie huyo dhidi ya mkali wa muziki wa kizazi kipya hasa ule wa kufokafoka, Abubakar Chende ‘Dogo Janja’ a.k.a Janjaro, akidai haitambui japo anatafuta nafasi ili ajue ukweli ulivyo. Ndio, Baba mzazi wa […]

Read More..

Wastara wa Sajuki Anahitaji Shilingi Milion...

Post Image

MSANII wa Bongo Movie, Wastara Issa, anahitaji msaada wa kiasi cha Sh 37 mil ili akapatiwe matibabu nchini India, lakini mpaka sasa hakuna hata msanii mwenzake aliyekwenda kumjulia hali. Wastara alikuwa mke wa marehemu, Sajuki Juma aliyefariki miaka mitano iliyopita kutokana na tatizo la mfuko wa chakula na alikuwa pia ni muigizaji. Amesema, anahitaji kiasi […]

Read More..

Chidi Benz Akamatwa Tena na Madawa Dodoma

Post Image

Msanii wa Hip Hop nchini Rashid Makwiro ‘Chid Benz anashikiliwa tena  na jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya na hii inakuwa mara ya tatu kwa msanii huyu kukumbwa na sakata hili. Akithibitisha taarifa hizo Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, SACP, Giless Muroto amesema kwamba ni kweli […]

Read More..

Kajala Atoa Tamko Rasmi la Ndoa Yake

Post Image

SUPASTAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ ametoa tamko rasmi kuhusu ndoa yake na mumewe, Faraji Chambo akisema kuwa hana mpango wa kurudi tena kwenye ndoa hiyo kwa kuwa hata mumewe huyo alipotoka gerezani hakuwa na muda wa kumtafuta yeye kama mkewe. Kajala aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, kama mume, ni lazima angefanya taratibu za […]

Read More..

Hatimaye Mashabiki na Wapenzi wa Lulu Kuanz...

Post Image

Zikiwa zimepita siku 54 tangu muigizaji wa filamu bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, sasa mashabiki wake wataanza tena kumuona kupitia tamthiliya ya Sarafu inayotarajiwa kuanza kurushwa kuanzia Januari 10 siku ya Jumatano. Sarafu ni moja ya tamthiliya zitakazoonyeshwa katika king’amuzi cha DSTV kupitia chanel yao ya Maisha Magic Bongo ambapo […]

Read More..

Nina Mvuto Bongo Movie Wajipange- Pretty Ki...

Post Image

MSANII chipukizi katika tasnia ya filamu Bongo Susan Michael ‘Pretty Kind’ ametamba kwa kuwaeleza kuwa wasanii wa kike wajipange kwani amefungua mwaka kwa kuingia katika tasnia hiyo akiwa na vitu muhimu ambavyo anaamini atawafunika na kuwa muigizaji wa kike pekee mwenye mvuto na muigizaji bora. “Sijaingia katika fani ya kuigiza kwa kukurupuka no nimeangalia vitu […]

Read More..

Msanii Suzan Michael maarufu kama Pretty Ki...

Post Image

Msanii filamu na video vixen, Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind amefunguka na kuomba radhi kwa Serikali na Watanzania kwa ujumla kutokana na vitendo vyake vya kupiga na kuweka picha mitandaoni za nusu uchi. Akiongea jana na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kufungiwa na serikali kujihusisha kufanya kazi zozote za sanaa kwa miezi […]

Read More..

Ushoga Huu wa Aunt Ezekiel na Shamsa Ford W...

Post Image

USHOSTI uliochipuka na kukolea hivi karibuni wa mastaa wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford na Aunt Ezekiel, umeibua mambo huku wengi wakihoji ulikoanzia kwa sababu haukuwahi kuwepo na kwamba hawaendani. Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, mastaa hao walisema kuwa, wanashangazwa na watu wanaohoji urafiki wao huo ulianza lini na wengine wakisema hawapendezani ambapo […]

Read More..

Gigy Money atoa machozi baada yakutoka BASA...

Post Image

Leo january 08,2018 baada ya kutoka basata Giggy. chanzo: millardayo

Read More..

Mafuriko Yasababisha Kufungwa kwa Barabara ...

Post Image

Kufuatia kujaa maji juu ya daraja la Mto Msimbazi kwenye Barabara ya Morogoro na kusababishwa kufungwa kwa muda kwa barabara hiyo, Kamapuni inayotoa huduma katika mradi wa Mabasi yaendayo haraka jijini Dra es Salaam, UDA Rapid Transit (UDART) inauarifu umma kuwa huduma za mabasi hayo zimesitishwa kwa muda kuanzia saa 3:00 asubuhi ya Januari 08, […]

Read More..

Wanapenda Kuona Mauno Yangu Kama Nini- Snur...

Post Image

Mwanamuziki Snura Mushi ‘ SnuSexy’ yeye amekiri kwamba tayari alikwisha jipanga kukabiliana na mabadiliko ya serikali haswa katika kuzingatia sheria za mavazi pamoja na maneno kwenye nyimbo zake baada ya kuletewa shida kwenye wimbo wake wa Majanga. Akizungumza na www.eatv.tv Snura amesema kwamba ameamua kubadilika na jinsi sheria inavyotaka ndiyo maana kuanzia video zake mpaka […]

Read More..

Gigy Money ameripoti BASATA na ni Mjamzito

Post Image

Baada ya msanii Gigi money kusikia anaitwa na Naibu Waziri wa habari, utamaduni, sanaa za michezo JULIANA SHONZA akaamua kuposti kwa kumjibu naibu waziri na basata   Baada ya kauli ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza kumtaka Gigy Money kufika Ofisini kwake  mwenyewe kabla ya Serikali haijamtafuta ,  January 8 2018 nimezinasa Picha […]

Read More..

“Nafurahia nilichokifanya”-JACQULINE WO...

Post Image

January 6, 2018 Staa wa Bongo movie Jacquline Wolper siku chache zilizopita amekuwa akipost vitu kupitia mitandao yake ya kijamii  kuhusiana na kuvalishwa pete ya uchumba na kuolewa na mwanaume ambaye wengi hawamfahamu. Kupitia mtandao wa snapchat pamoja na instagram Jacquline Wolper amepost picha ambazo zinaashiria kuwa ameshaolewa kutokana na captions alizoziandika na moja ya captions ameandika […]

Read More..

Brown afunguka sababu kutemana na Wolper

Post Image

Brown amefunguka na kuweka wazi sababu ambayo imepelekea yeye kuachana na msanii wa filamu nchini Jackline Wolper na kusema yeye ndiye alimkosea binti huyo na kila alipoomba msamaha hakutaka kumuelewa. Akiongea kwenye kipindi cha Friday Night Live (FNL) Brown anasema kuwa yeye na Wolper walikuwa na ugomvi kati yao ambao ulisababishwa na yeye mwenyewe na […]

Read More..

Wimbo wa “Papa” wa Gigy waibukia mkutano!

Post Image

Wimbo wa Papa ulioimbwa na msanii Gift Stanford ‘Gigy Money’ na ule wa Wowowo ulioimbwa na Zaiid Yao, umeibua mjadala katika kikao cha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe na viongozi wa vyama na mashirikisho ya wasanii. Leo Ijumaa, Waziri Mwakyembe alikutana na viongozi kwa ajili kujadili suala la maadili ya […]

Read More..

Babu Seya na Papii Kocha rasmi waingia stud...

Post Image

Wasanii wa muziki wa dance nchini ambao wameachiwa hivi karibuni kutoka gerezani kwa msamaha wa Rais JPM, Babu Seya na Papii Kocha Leo January 5, 2017 wametembelea studio za Wanene ambapo walipelekwa na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Juliana Shonza. Wasanii hao baada ya kutembelea studio za Wanene walifanya mazungumzo na Uongozi wa […]

Read More..

VIDEOMPYA: Nini ameachia hii aliyomshirikis...

Post Image

Nini ambaye anafanya vizuri na nyimbo zake safari hii anakualika kuufungua mwaka na video yake ya “Niwe dawa” aliyomshirikisha mkali wa HipHop bongo Nay Wa Mitego. bonyeza PLAY kuona video hii  

Read More..